Ndio Lyrics

Rehema Simfukwe swahili

Chorus:
Ameamua, nani apinge?
Baba amesema ndio, nani akatae?

Ndio Video

Buy/Download Audio

Ndio Lyrics

Ameamua, nani apinge? 
Baba amesema ndio, nani akatae?

Ameamua, nani apinge? 
Baba amesema ndio, nani akatae?

Ameamua, nani apinge? 
Baba amesema ndio, nani akatae?

Ameamua, nani apinge? 
Baba amesema ndio, nani akatae?

Ameamua, nani apinge? 
Baba amesema ndio, nani akatae?

Amedhibitisha, mimi ni mtoto wake 
Sina mashaka na yeye 
Kifo chake msalabani, ilimaliza yote 

Amedhibitisha, mimi ni mtoto wake 
Sina mashaka na yeye 
Kifo chake msalabani, ilimaliza yote 

Amedhibitisha, mimi ni mtoto wake 
Sina mashaka na yeye 
Kifo chake msalabani, ilimaliza yote Aliyosema atalifanya 
Tumemwamini kwa mambo mengi 
Bwana amesema ndio, nani akatae? 

Ameamua, nani apinge? 
Baba amesema ndio, nani akatae?

Ameamua, nani apinge? 
Baba amesema ndio, nani akatae?

Ndio yake, ni ndio 
Akishasema amesema
Baba amesema ndio, nani akatae? 

Ndio yake, ni ndio 
Akishasema amesema
Baba amesema ndio, nani akatae?

Ndio yake, ni ndio 
Akishasema amesema
Baba amesema ndio, nani akatae?

Ndio yake, ni ndio 
Akishasema amesema
Baba amesema ndio, nani akatae?