Sifa Lyrics

Fungua Mbingu by Emma Omonge cover art

Emma Omonge - Fungua Mbingu Lyrics

Artist:
Emma Omonge

Lyrics

Fungua Mbingu Lyrics – Emma Omonge youtu.be


Naomba nitembee chini ya mbingu lililofunguka


Naomba nihudumu chini ya uwepo uloshuka


Naomba mkono wako usitoke kichwani mwangu


Uzito wako dhamana kuu kwangu


Naomba nitembee chini ya mbingu lililofunguka


Naomba nihudumu chini ya uwepo uloshuka


Naomba mkono wako usitoke kichwani mwangu


Uzito wako dhamana kuu kwangu


Fungua mbingu, majibu yapatikane


Fungua mbingu uuh


Fungua mbingu, majibu yapatikane


Fungua mbingu uuh


Fungua mbingu, majibu yapatikane


Fungua mbingu uuh


Fungua mbingu, majibu yapatikane


Fungua mbingu uuh


Tazama mambo machungu yananigonga moyoni


Tazama mambo mazito yananipiga moyoni


Nimkimbiliaye amejeruhiwa


Nimwombaye amepungukiwa


Nimwitae ameshushika


Ni wewe tu jibu langu


Nimkimbiliaye amejeruhiwa


Nimwombaye amepungukiwa


Nimwitae ameshushika


Ni wewe tu jibu langu


Uliye na funguo, fungua milango yangu


Uliye na sikio, sikia maombi yangu


Nifungulie kwa huduma zako


Kiachiliwe kilicho changu


Yakuguse machozi yangu


Nifungulie eeh


Fungua mbingu, majibu yapatikane


Fungua mbingu uuh


Fungua mbingu, majibu yapatikane


Fungua mbingu uuh


Fungua mbingu, majibu yapatikane


Fungua mbingu uuh


Fungua mbingu, majibu yapatikane


Fungua mbingu uuh


Video