Emma Omonge - Nachotaka - Nachotaka niwe Niwewe Tu Lyrics

Nachotaka - Nachotaka niwe Niwewe Tu Lyrics

Nachotaka niwe niwewe tu 
Nachotaka niwe niwewe tu 
Haja ya moyo wangu Yesu uu 
Haja ya moyo wangu Yesu uuh  .

Kama ayala atafutavyo maji 
Zaidi ya udongo mkavu 
Uonavyo kiu kwa tone la maji 
Ilivyo nafsi yangu isiposema nawe 
Ulivyo moyo wangu nisiposhiriki nawe 
Kama samaki nje ya bahari 
Sina uhai nje ya hema yako
Nataka nizame nizame 
Nizame kwa pendo lako 
Nataka nizame nizame 
Nizame kwa pendo lako 
Nakuhitaji Yesu eeh  .

Nachotaka niwe niwewe tu 
Nachotaka niwe niwewe tu 
Haja ya moyo wangu Yesu uu 
Haja ya moyo wangu Yesu uuh  .

Nataka nikujue zaidi ya fahamu zangu 
Bwana nikuinue zaidi ya hitaji langu 
Niloweshe kwa roho nikujue 
Sura ung'ae usoni mwangu 
Nataka nikutumikie kwa nguvu mpya aah 
Kisichowezekana niwezeshee eeh 
Ninapopungukiwa nineemeshe 
Nakuhitaji Yesu uoo-ooh  .

Nachotaka niwe niwewe tu 
Nachotaka niwe niwewe tu 
Haja ya moyo wangu Yesu uu 
Haja ya moyo wangu Yesu uuh 


Nachotaka - Nachotaka niwe Niwewe Tu Video

Nachotaka - Nachotaka niwe Niwewe Tu Lyrics -  Emma Omonge

Emma Omonge Songs

Related Songs