Emma Omonge - Sina Mwingine Lyrics

Lyrics

Nani awezaye nipenda Zaidi ninavyostahili Uchungu wa msumari, angestahimili Nimpate wapi Nwingine kama wewe Nuru yangu gizani Amani yangu mawimbini Nimpate wapi Mwingine kama wewe

Sina mwingine, ila wewe Sitaki mwingine, ila wewe Sina mwingine, ila wewe Sitaki mwingine, ila wewe

Mpole wa hasira Mwingi wa rehema Mungu usiyebagua Mbele zako tuko sawa Unyonge na udhaifu wangu Huchoki nao Pendo lako, huruma zako Hazina kifani, nimpate wapi Kipenzi kama wewe Nipate wapi rafiki kama wewe

Sina mwingine, ila wewe Sitaki mwingine, ila wewe Sina mwingine, ila wewe Sitaki mwingine, ila wewe

Sina mwingine, ila wewe Sitaki mwingine, ila wewe Sina mwingine, ila wewe Sitaki mwingine, ila wewe Sina mwingine, ila wewe Sitaki mwingine, ila wewe

Video

Emma Omonge | Sina Mwingine | Official Lyrics Video|

Thumbnail for Sina Mwingine video
Loading...
In Queue
View Lyrics