Willy Paul - Sitolia Lyrics

Contents: Song Information
  • Song Title: Sitolia (feat. Gloria Muliro)
  • Album: Kitanzi (You Never Know)
  • Artist: Willy Paul
  • Released On: 24 Mar 2014
  • Download/Stream: iTunes Music Amazon Music
Willy Paul Sitolia

Sitolia Lyrics

Fahamu anakupenda sana (Know that He loves you)
Nayo salvation yako haitadunda (And your salvation is permanent)
Ye msela, sina hela, Alikupenda bila hela (But I'm poor... He loved you poor)
Amekuwa akinihanda, amekuwa akinitesa mimi (I was followed and)
Sababu mimi (?), na sina hela (Because I'm in debt(?) and poor)
Miye fukara, just imagine (I am destitute)
Bado nafsi yangu, ni kwako wewe (But my soul is in you)
Kuokoka kwangu, ni kwako wewe (My salvation is in you)
Oh Sitolia mimi, Nafahamu uko na mimi jalali (I won't cry, I know you are with me)

Ni kwako, ni kwako; Ni kwako, ni wewe (It is in you)
Oh Sitolia mimi, Nafahamu uko na mimi jalali (I won't cry, I know you are with me)
Iye sitolia mimi, Nafahamu upo na mimi maulana (I won't cry, God you are with me)
Ni kweli usilie mwenzio, Maulana yuko na wewe akujali
(Don't cry, God cares for you)
Kiganjani mwake amekuweka, hautabanduka (He has kept you in His palm, you won't fall)
Ni kweli uko mbali na mimi, Uko mbali na uga wangu
(Though you are far from mr)
Lakini msela mimi huyu, Sitolia kamwe (But here I am, I will not cry)
Mwana we, mwana; nakwambia tulia (Son, I tell you to calm)
Mwana we, mwana; si vema kulia (Son, It is not good to cry)
Mola anakuangalia, anakufikiria (God watches over you, thinks about you)
Atakuangazia (He shall light your path)
Mateso ni ya muda tu, mtihani utaupita tu (Troubles are only for a time, you shall overcome)
Hata usiku uwe mrefu ndugu, kutapambazuka (Though the night be long, the dawn comes)
Oh Sitolia mimi, Nafahamu uko na mimi jalali (I won't cry, I know you are with me)
Iye sitolia mimi, Nafahamu upo na mimi maulana (I won't cry, God you are with me)
Ni kweli usilie mwenzio, Maulana yuko na wewe akujali
(Don't cry, God cares for you)
Kiganjani mwake amekuweka, hautabanduka (He has kept you in His palm, you won't fall)
Ni heri ni mtazamie yeye, mtazamie maulana (I am blessed to look to God)
Ni heri ni mkimbiliye yeye, mkimbilie mola (I am blessed to run to God)
 
Willy Paul Songs

Related Songs