Willy Paul - Mamangu Lyrics

Album: Mamangu - Single
Released: 14 May 2015
iTunes Amazon Music

Lyrics

Wewe ndiwe mama tena best friend nakupenda ma.ati wewe ndiwe mama tena best friend. Kama vile dady aliniwachamamy usiniwache willy Nyumbani kwangu ni kwako mama×6 Kama vile dady aliniwacha mamy usiniwache willy Ubonge na mungu akuruhusu ubaki nami mama kama ukishindwa tuma malaika tubonge naye jalali uliniaidi ukingojeka utapona.uliniaidi ukiondoka mama utarudi.uliniaidi utakuwa nami mpaka mwisho. Nyumbani kwangu ni kwako mama Shida kwa wingi umepitia mama wange. Tatizo ni mingi umepitia mama wange Lakini umeyashinda umeyashinda we mama wange Wewe ndo wangu mama wange Mimi ndo wako mwana wako Nyumbani kwangu ni kwako mama

Video

Willy Paul - Mamangu (Official Video)(@willypaulbongo)

Thumbnail for Mamangu video
Loading...
In Queue
View Lyrics