Willy, Willy, Willy Willy Willy Willy
Willy, Willy Willy, Willy
Msaafiii...
Willy Pozee ako wapi? Ako apo
Namba Nane ako wapi? Niko apa
Willy Pozee ako wapi? Si tuko apaa
Nikicheza ngoma iwe ngoma noma
Nikisoma neno iwe neno noma
Nikipiga wera iwe wera noma
Devo akileta shida
T.W.
Tiga wana we noma
Tiga wana we noma
Tiga wana we noma
Mili-mili-mili-milima na mabonde nimepitia re
Nikisukuma neno la bwana re
Nazo chuki re, nazo chuki re, nazo chuki re Ee-eeh
Okay tiga wana weh pepo
Okay tiga wana weh pepo
Okay tiga wana weh Aeeh
Lord I want to praise you every single day
I want to love you every single day
I want to praise you every single day
Nikicheza ngoma iwe ngoma noma
Nikisoma neno iwe neno noma
Nikipiga wera iwe wera noma
Devo akileta shida
T.W.
Tiga wana we noma
Tiga wana we noma
Tiga wana we noma
Mmmh Namba Nane Size 8,
AKA Mama Wambu
Ni kweli mi napiga neno, Eeehh
Tiga wana weh Devo
Tiga wana weh Devo
Tiga wana weh
Tiga wana weh
Tiga wana...
Kitu moja ndani ya millioni,
Ata mabilioni, ata matrilioni Iiihh
Nipende Baba, Usije nilenga Baba
Fungua milango Baba, Aiyayayah
Lord I want to praise you every single day
I want to love you every single day
I want to praise you every single day
Nikicheza ngoma iwe ngoma noma
Nikisoma neno iwe neno noma
Nikipiga wera iwe wera noma
Devo akileta shida
T.W
Tiga wana we noma
Tiga wana we noma
Tiga wana we noma
Si mlete bakora, mikuki
Tumpige ibilisi atoke
Tusukume neno iendee Ah ah, Size 8
Si mchome shetani na fire
Tumpige mateke aende
Neno la Bwana mbele liende
Neno la Bwana mbele lisonge
Okay tiga wana weh
Okay tiga wana weh
Okay tiga wana weh
Tiga wana we
Tiga wana we
Tiga wana we
Tiga wana we
Tiga wana we
Tiga wana we
Teddy B