Willy Paul - Nomare Lyrics

Lyrics

Ati huyu mtoto amepotea Nkt! Kwani ni mtoto yako Hata chai hawezi nunua Nkt! Kwani ye ni mama yako

Ati nalewa nawaka naharibu pesa Nkt! Kwani ni mtoto yako Hata mi nikiwa less Nitapiga nguo za wiki Sunday best Hata mnichaneree Nitapiga nguo za wiki Sunday best

Si the other day I was in church To thank the Most High God For the gift of life There were people judging me  Left and right back and center

Nomare, wakiona prosperity Nomare, wanadhani ni abnormality Nomare, yaani kama vile vanity Nomare, hii yote ni reality

Mbona unaroll kwenye bima (Ni yangu) Si ungeshikia mama hata nyumba (Ni wangu) Mbona unaishi Kileleshwa (Ni kwangu) Na babako anateta hana pesa (Ni wangu)

Wengine wana information wachache wana truth True true true true Kuna wajinga wako tu na knowledge ya looks Ooooh...

Na pia wale - haiambatani na looks Usiamini ulimi ya mtu only neno aliye juu Binadamu wana maroho Nia yao kukuvunja moyo

Binadamu always wanalia, baharia bandia Niko alive juu ya grace ya Mungu Si favour ya mtu Tulikubalia hakuna aliye clean through

Hatukosi spot star kofia ya mabutu Hawatendi kitu bila strings attached Kama orutu nina mengi ya kusema bila ku edit Kabla niingie ile shimo hainanga exit

Niko solo sitegemei clicks kama kamridge Wacha kuletea flower when mapua ina pamba Ati love ndio tulove back  Nikuone ni kuparty, ndio ikuwe best position kukustop

Si the other day I was in church To thank the Most High God For the gift of life There were people judging me  Left and right back and center

Nomare, wakiona prosperity Nomare, wanadhani ni abnormality Nomare, yaani kama vile vanity Nomare, hii yote ni reality

Nomare, mtoto amepotea Nomare, kwani ni mtoto yako Nomare, hata chai hawezi nunua Nomare, kwani ye ni mama yako

Hata mi nikiwa less Nadunga nguo za wiki Sunday best

Nomare, wakiona prosperity Nomare, wanadhani ni abnormality Nomare, yaani kama vile vanity Nomare, hii yote ni reality

Video

Willy Paul x Juliani - NOMARE ( Official Video )

Thumbnail for Nomare video
Loading...
In Queue
View Lyrics