Sifa Lyrics

Natafuta bibi by Ringtone cover art

Ringtone - Natafuta bibi Lyrics

Artist:
Ringtone

Lyrics

Oa, oa, yeah yeah
Ringtone, mwana Ringtone 


Natafuta bibi, nisaidie
Natafuta bibi, mniombee
Natafuta bibi, pastor nisaidie
Natafuta bibi, mniombee


Natafuta bibi anayempenda Mungu(Oooh)
Hapendi fitina anapenda watu(Oooh)
Anapenda kuomba anapenda kusifu(Oooh)
Mwenye hekima na hofu(Oooh)


Ananyenyekea, anapenda watu
Anapenda watoto, anapenda Mungu
Anatoa sadaka na fungu la kumi
Yuko wapi? Namtafuta


Daudi akasema
Nilikuwa kijana sasa ni mzee
Na sijawahi ona
Mungu ameacha mwenye haki


Natafuta bibi, nisaidie
Natafuta bibi, mniombee
Natafuta bibi, pastor nisaidie
Natafuta bibi, mniombee


Watu hawataki kuelewa 
Mimi wananichekelea 
Kwake Mungu nategemea
Mke ataniletea


Alivyompa Sara
Mtoto miaka ya uzeeni
Na akamjibu Hannah
Akampa wana


Daudi akasema
Nilikuwa kijana sasa ni mzee
Na sijawahi ona
Mungu ameacha mwenye haki


Natafuta bibi, nisaidie
Natafuta bibi, mniombee
Natafuta bibi, pastor nisaidie
Natafuta bibi, mniombee


Maombi yangu, mi nifanye harusi
Watu wale pilau, washerehekee
Tutembee kanisani, watu waimbe pambio
Kwetu nyumbani, watu washerehekee


Wale hawakuamini
Wanaeza wa-washerehekee
Wale walionipenda
Mbele yao waniletee zawadi


Tuwe na harusi
Itakayofunganishwa kanisani
Tuwe na harusi
Itakayokubalika mbinguni


Natafuta bibi, nisaidie
Natafuta bibi, mniombee
Natafuta bibi, pastor nisaidie
Natafuta bibi, mniombee


Natafuta bibi, nisaidie
Natafuta bibi, mniombee
Natafuta bibi, pastor nisaidie
Natafuta bibi, mniombee


Video