Ringtone - Sisi Ndio Tuko Lyrics

Sisi Ndio Tuko Lyrics

Sisi ndio tupo (Tupo)
Ni sisi ndio tupo (Tupo)
Sisi ndio tupo (Tupo)
Ni sisi ndio tupo (Tupo)

Mnataka wa kwenda kwa club
Wa kanisa ndio tupo
Mnataka wa pombe na mzinga
Wa chai ndio tupo

Tunataka kukesha sherehe
Wakesha kanisa ndio wapo
Mnapenda wa Kwenda Dubai
Wa Katoloni ndio tupo

Tuko tuko (Tupo) Nasema tuko (Tuko)
Tuko tuko (Tupo) Na sisi tuko (Tuko)
Hatafuti wengine Mungu
Maana tuko

Sisi ndio tupo (Tupo)
Ni sisi ndio tupo (Tupo)
Sisi ndio tupo (Tupo)
Ni sisi ndio tupo (Tupo)

Tuondoke twende wapi?
Kule tumfuate nani?
Ili tukapate nini?
Tuitwe majina gani?
Kwa Yesu tumekosa nini?

Sisi bado tupo
Hata wakiondoka potelea mbali
Waache waende
Hata wasipo amini sisi hatujali
Waache waende

Sisi ndio tupo (Tupo)
Ni sisi ndio tupo (Tupo)
Sisi ndio tupo (Tupo)
Ni sisi ndio tupo (Tupo)

Tuko tayari kutumwa na Mungu popote eh
Atutumie kwa njia yoyote
Lakini uwezo sisi hatuna
Mgumu hatuna

Wachungaji nao wanataka wa suti
Hawataki wa mitindo
Na si ndio tupo
Vijana wa mitindo tupo
Yesu atupenda hivyo
Na tutamwakilisha hivyo

Sisi ndio tupo (Tupo)
Ni sisi ndio tupo (Tupo)
Sisi ndio tupo (Tupo)
Ni sisi ndio tupo (Tupo)

Arusha na Mwanza mpo?
Dar Dodoma mpo?
Nairobi Nakuru mpo?
Kisii Nyeri mpo?
Kisumu Mombasa mpo?
Kampala, Bujumbura 
Lilongwe, Kigali mpo?

Sisi ndio tupo (Tupo)
Ni sisi ndio tupo (Tupo)
Sisi ndio tupo (Tupo)
Ni sisi ndio tupo (Tupo)


Sisi Ndio Tuko Video

Ringtone Songs

Related Songs