Ringtone - Kesho yako Lyrics

Lyrics

Mungu ako kazini (ooh mama ooh) Kwa ajili yako (ooh mama ooh) Mungu ako kazini (ooh mama ooh) Anakushughulikia (ooh mama ooh)

Kesho yako itang'ara kushinda leo Kesho yako wee, itang'ara kushinda leo Kesho yako itang'ara kushinda leo Kesho yako wee, itang'ara kushinda leo

Heshima inakuja, madharau yanaenda Aibu inaisha, kuonewa kunakoma Kucheka kunaanza, kulia kunaisha Kuponywa kumeanza, magonjwa yanaenda Uchawi umeshindwa, sasa wewe uko huru Jina lako ni historia Umaskini ni historia Kulia ni historia Kuteseka ni historia

Kesho yako itang'ara kushinda leo Kesho yako wee, itang'ara kushinda leo Kesho yako itang'ara kushinda leo Kesho yako wee, itang'ara kushinda leo

Naona kesho yako, naona kesho yako  Ambayo haina mateso Mweke Mungu mbele, mweke Mungu mbele Baraka akupe tele

Mikono yake  Ikikuguza utasahau shida Na baraka zake Zikikufikia utaheshimika

Kesho yako itang'ara kushinda leo Kesho yako wee, itang'ara kushinda leo Kesho yako itang'ara kushinda leo Kesho yako wee, itang'ara kushinda leo

Mungu ako kazini (ooh mama ooh) Kwa ajili yako (ooh mama ooh) Mungu ako kazini (ooh mama ooh) Anakushughulikia (ooh mama ooh)

Mungu ako kazini (ooh mama ooh) kwa ajili yako (ooh mama ooh) Mungu ako kazini(ooh mama ooh) anakushughulikia (ooh mama ooh)

Macho yake  Ni makali yanaona sana shida zako zote Maskio yake  Ni makali makali mno anasikia sana Usiogope anasikia yote

Machozi yako,shida zako, usi worry atataua Shida zako,machozi yako, usijali atapanguza yote

Kesho yako itang'ara kushinda leo Kesho yako wee, itang'ara kushinda leo Kesho yako itang'ara kushinda leo Kesho yako wee, itang'ara kushinda leo

Video

Ringtone ' Kesho Yako' [Official Music Video] (sms skiza 7630711 send to 811)

Thumbnail for Kesho yako video
Loading...
In Queue
View Lyrics