Sifa Lyrics

Zoea Mawe by Ringtone cover art

Ringtone - Zoea Mawe Lyrics

Artist:
Ringtone

Lyrics

Zoea kupigwa mawe, zoea kupigwa mawe
Wewe ni mti mwenye matunda, zoea kupigwa mawe
Zoea kupigwa mawe, zoea kupigwa mawe
Wewe ni mti mwenye matunda, zoea kupigwa mawe

Ni wengi watakuchukia bila sababu we eeh eh
Wengi watakuonea bila makosa we eeh
Mambo mengi watasema ya kukuvunja moyo
Ni kawaida kuonewa wivu wewe si wa kwanza
 
Ikisha kumulika hiyo tochi ya Mungu
Mawe mingi utapigwa ju ya kazi ya Mungu
Sasa wewe usife moyo ju ya mambo ya watu
Mawe mingi utapigwa ju ya kazi ya Mungu

Zoea kupigwa mawe, zoea kupigwa mawe
Wewe ni mti mwenye matunda, zoea kupigwa mawe
Zoea kupigwa mawe, zoea kupigwa mawe
Wewe ni mti mwenye matunda, zoea kupigwa mawe

Yesu alikuwa na dhambi gani, walipo msulubisha
Mate wakamtemea matusi wakamfokea
Mkuki wakamdunga, viboko wakamchapa
Miba wakamvisha jamani bila makosa

Ikisha kumulika hiyo tochi ya Mungu
Mawe mingi utapigwa ju ya kazi ya Mungu
Sasa wewe usife moyo ju ya mambo ya watu
Mawe mingi utapigwa ju ya kazi ya Mungu

Zoea kupigwa mawe, zoea kupigwa mawe
Wewe ni mti mwenye matunda, zoea kupigwa mawe
Zoea kupigwa mawe, zoea kupigwa mawe
Wewe ni mti mwenye matunda, zoea kupigwa mawe

Namtambua aaah, namtambua aaah
Huyu Mungu mimi namtambua

(Producer Teddy B na Ringtone)
Teddy B na Ringtone

Video