Walter Chilambo - Chakutumaini Sina Lyrics

Lyrics

Cha kutumaini sina Ila damu yake Bwana Sina wema wa kutosha Dhambi zangu kuziosha Cha kutumaini sina Ila damu yake Bwana Sina wema wa kutosha Dhambi zangu kuziosha (Kwake Yesu nasimama Ndiye  Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Kwake Yesu nasimama Ndiye  Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama)

Njia yangu iwe ndefu Yeye hunipa wokovu Mawimbi yakinipiga Nguvu zake ndiyo nanaga Njia yangu iwe ndefu Yeye hunipa wokovu Mawimbi yakinipiga Nguvu zake ndiyo nanaga (Kwake Yesu nasimama Ndiye  Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Kwake Yesu nasimama Ndiye  Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama)

Damu yake na sadaka Nategemea daima Yote chini yakiisha Mwokozi atanitosha Damu yake na sadaka Nategemea daima Yote chini yakiisha Mwokozi atanitosha (Kwake Yesu nasimama Ndiye  Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Kwake Yesu nasimama Ndiye  Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama)

Nikiitwa hukumuni Rohoni nina amani Nikivikwa haki yake Sina hofu mbele zake Nikiitwa hukumuni Rohoni nina amani Nikivikwa haki yake Sina hofu mbele zake (Kwake Yesu nasimama Ndiye  Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Kwake Yesu nasimama Ndiye  Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama)

Video

Walter Chilambo - Chakutumaini Sina (official song)

Thumbnail for Chakutumaini Sina video
Loading...
In Queue
View Lyrics