Sifa Lyrics

Ushuhuda by Walter Chilambo cover art

Walter Chilambo - Ushuhuda Lyrics

Artist:
Walter Chilambo
Album:
Ushuhuda
Official Release:
16 May 2022

Lyrics

Nimezaliwa kwa kusudi nipo kwa kusudi
Hivi nilivyo kwa kusudi  nipo kwa kusudi
Hata nina yopitia ni kusudi yapo kwa kusudi
Majaribu yasoishaa ooh yote yapo kwa kusudi
Iwe huzuni ama faraja  oooh iwe kilio ama furaha ooh
Iwe kupata au kupoteza  aah nimepitia ili kutimiza  kusudi lake


Na mimi ni ushuhuda  (ushuhuda eeh)
Mimi ni ushuhuda  (mimi ni ushuhuda)
Ooh mimi ni ushuhuda  (ooh mimi ni ushuhuda)
Mimi ni ushuhuda  (aaiyayaa yaya yaiyaah)
Ooh mimi ni ushuhuda  eeh


Leo amenipa ujasiri nasimama tena. Amenipa nguvu
Nimeinuka  Tena  amenipa kutabasamu  ninacheka tena
Amenipa amani ni furaha zaidi
Mimi ni ushuhuda  (nikutie moyo)
Mimi ni ushuhuda  (usikate tamaa)
Sito yumbishwa na jambo  lolote tena
Sito babaika  na kitu chochote


Iwe huzuni ama faraja  oooh iwe kilio ama furaha ooh
Iwe kupata au kupoteza  aah nimepitia ili kutimiza  kusudi lake


Na mimi ni ushuhuda  (ushuhuda eeh)
Mimi ni ushuhuda  (mimi ni ushuhuda)
Ooh mimi ni ushuhuda  (ooh mimi ni ushuhuda)
Mimi ni ushuhuda  (aaiyayaa yaya yaiyaah)
Ooh mimi ni ushuhuda  eeh   si tena wa zamani ayayayah
Mimi ni ushuhuda   (amesha nitoa kule baba)
Ooh mimi ni ushuhuda  (mimi ni ushuhuda)
Mimi ni ushuhuda  mimi ni ushuhuda
Ooh mimi ni ushuhuda eeh


Video