Sifa Lyrics

Utabaki na Mimi by Upendo Nkone cover art

Upendo Nkone - Utabaki na Mimi Lyrics

Artist:
Upendo Nkone

Lyrics

Utabaki na mimi, utabaki na mimi
Wengine wakiniacha Yesu, utabaki na mimi
Utabaki na mimi, utabaki na mimi Baba
Wengine wakiniacha Yesu utabaki na mimi


Utabaki na mimi, utabaki na mimi
Wengine wakiniacha Yesu, utabaki na mimi
Utabaki na mimi, utabaki na mimi 
Wengine wakiniacha Yesu utabaki na mimi


Katika pito hili baba (Utabaki na mimi)
Kwenye magumu haya baba (Utabaki na mimi)
Wengine wakiniacha Yesu utabaki na mimi


Utabaki na mimi baba (Utabaki na mimi)
Uwe mfano wangu Yesu (Utabaki na mimi)
Wengine wakiniacha Yesu utabaki na mimi


Majaribu ni kama moto yanauchoma moyo
Yamenipata mimi moyoni mwangu naumia
Nimesongwa pande zote sioni nafuu
Yesu njoo uwe na mimi


Kichwa changu kinaniuma moyo una mawazo
Jaribu hili baba yangu naona ni nzito sana
Limenijia kwa ghafla nimehuzunika sana
Yesu njoo nifariji moyo


Utabaki na mimi, utabaki na mimi
Wengine wakiniacha Yesu, utabaki na mimi
Utabaki na mimi, utabaki na mimi 
Wengine wakiniacha Yesu utabaki na mimi


Utabaki na mimi, utabaki na mimi
Wengine wakiniacha Yesu, utabaki na mimi
Utabaki na mimi, utabaki na mimi 
Wengine wakiniacha Yesu utabaki na mimi


Unisimamishe tena baba (Utabaki na mimi)
Nishike mkono baba (Utabaki na mimi)
Wengine wakiniacha Yesu utabaki na mimi


Unisimamishe tena baba (Utabaki na mimi)
Nishike mkono baba (Utabaki na mimi)
Wengine wakiniacha Yesu utabaki na mimi


Mimi nalia machozi yangu uyaone baba
Mwili wangu umetetemeka pito ni nzito
Ewe Mungu wa urejesho unirejeshe tena
Yesu wangu uwe na mimi


Nakuomba baba wa huruma unitulize
Faraja yako Yesu wangu iwe na mimi
Unishike mkono Mungu wangu uniinue tena
Yesu njoo uwe na mimi 


Utabaki na mimi, utabaki na mimi
Wengine wakiniacha Yesu, utabaki na mimi
Utabaki na mimi, utabaki na mimi 
Wengine wakiniacha Yesu utabaki na mimi


Utabaki na mimi, utabaki na mimi
Wengine wakiniacha Yesu, utabaki na mimi
Utabaki na mimi, utabaki na mimi 
Wengine wakiniacha Yesu utabaki na mimi


Hata nikiwa mjane baba (Utabaki na mimi)
Hata nikiwa yatima (Utabaki na mimi)
Usiniache baba, usiniache baba
Wengine wakiniacha Yesu utabaki na mimi


Hata ndoa ikiisha (Utabaki na mimi)
Hata ndoa ikiisha baba (Utabaki na mimi)
Wengine wakiniacha Yesu utabaki na mimi


Hata wakinitenga (Utabaki na mimi)
Wakinifukuza mimi (Utabaki na mimi)
Wengine wakiniacha Yesu utabaki na mimi


Marafiki wakikimbia (Utabaki na mimi)
Na dunia ikinitenga (Utabaki na mimi)
Wengine wakiniacha Yesu utabaki na mimi


Washirika wakinigeuka (Utabaki na mimi)
Utabaki na mimi Baba (Utabaki na mimi)
Wengine wakiniacha Yesu utabaki na mimi


Watoto wangu wakinitenga (Utabaki na mimi)
Yesu utabaki na mimi (Utabaki na mimi)
Wengine wakiniacha Yesu utabaki na mimi


Wewe faraja ya moyo wangu
Yesu mtuliza bahari


Video