Upendo Nkone - Usalama Wangu Lyrics

Lyrics

Usalama wangu lazima niwe nawewe Yesu Usalama wangu lazima niwe na Yesu Kwa kila jambo nalolifanya Kwa kazi zangu za kila siku  Usalama wangu lazima niwe na Yesu

Na hata kwenye huduma yangu Majaribu yapo ni mengi Kushinda kwangu lazima niwe na Yesu Nikiwa kazini na wezangu Wakinifanyia ubaya Ushindi wangu najua niko na Yesu

Wakinisengenya chini kwa chini  Wakinifanyia mabaya  Mtetezi wangu najua niko na Yesu Wakinizushia maneno, wakinifanyia ubaya  Mtetezi wangu najua niko na Yesu

Wakinichongea kwa boss wangu Wakitaka mimi nifukuzwe kazi Mtetezi wangu najua ni Bwana Yesu Na majaribu yakinipata Yakiniumiza moyo wangu Faraja yangu najua ni Bwana Yesu wee

Wakinitegea mitego na itawanasa wenyewe Siogopi kitu najua ninaye Yesu Wakinichimbia shimo, watatumbukia wenyewe Sitaangamia sababu ninaye Yesu

Wakikusanyana kwa ubaya Nikisingiziwa kesi Mtetezi wangu najua ni Bwana Yesu Wakienda kwa waganga, wakinifanyia uchawi Hawataniweza sababu niko naye Yesu

Ninalindwa usiku na mchana Malaika wamenizunguka Mlinzi wangu najua ni Bwana Yesu Wakiniwekea sumu, wakitaka kunimaliza Mponyaji wangu najua ni Bwana Yesu Na maneno yao siyaogopi  Na vitisho vyao siviogopi Usalama wangu najua ninaye Yesu

Usalama wangu lazima niwe nawewe Yesu Usalama wangu lazima niwe na Yesu Usalama wangu lazima niwe nawewe Yesu Usalama wangu lazima niwe na Yesu

Usalama wangu lazima niwe nawewe Yesu Usalama wangu lazima niwe na Yesu Usalama wangu lazima niwe nawewe Yesu Usalama wangu lazima niwe na Yesu

Na Yesu, Na Yesu Usalama wangu lazima niwe na Yesu Na Yesu, Na Yesu Usalama wangu lazima niwe na Yesu

Video

UPENDO NKONE - USALAMA WANGU (Official Gospel Video)

Thumbnail for Usalama Wangu video
Loading...
In Queue
View Lyrics