Niacheni Niimbe - Niacheni Nicheze

Niacheni Niimbe - Niacheni Nicheze Lyrics

Niacheni niimbe niacheni nicheze 
Yesu mwana wa Mungu amejibu maombi yangu  .

Amenipa uzima, amenipa watoto 
Yesu mwana wa Mungu, amejibu maombi yangu  .

Niacheni niimbe niacheni nicheze 
Yesu mwana wa Mungu amejibu maombi yangu  .

Yeye amenitoa chini chini 
Ameniweka juu juu 
Yesu mwana wa Mungu amejibu maombi yangu  .

Niacheni niimbe niacheni nicheze 
Yesu mwana wa Mungu amejibu maombi yangu  .

Kanitoa kwenye shida, 
akabariki biashara zangu 
Yesu muweza yote amejibu maombi yangu  .

Niacheni niimbe niacheni nicheze 
Yesu mwana wa Mungu amejibu maombi yangu  .

Natembea kwa ujasiri, sababu ninaye Yesu 
Simba wa kabila la Yuda, anashugulika nami  .

Niacheni niimbe niacheni nicheze 
Yesu mwana wa Mungu amejibu maombi yangu   .

Daktari alikupima, akasema huwezi kuzaa 
Leo mwana wa Mungu amekupa watoto, imba  .

Niacheni niimbe niacheni nicheze 
Yesu mwana wa Mungu amejibu maombi yangu   .

Wamesema hutaolewa, wewe una mikosi 
Yesu unayemtegemea amejibu maombi yako  .

Ulikuwa hauna kazi na wengine walikucheka 
Leo Yesu mwana wa Mungu, ameondoa aibu  .

Niacheni niimbe niacheni nicheze 
Yesu mwana wa Mungu amejibu maombi yangu  .

Nimepandishwa cheo mimi (Yesu amejibu maombi yangu) 
Amenibariki Yesu (Yesu amejibu maombi yangu) 
Nimeinuliwa kazini (Yesu amejibu maombi yangu) 
Amenipa furaha (Yesu amejibu maombi yangu) 
Amenipa ushindi (Yesu amejibu maombi yangu) 
Amenipa amani (Yesu amejibu maombi yangu) 
Mi ninayo furaha (Yesu amejibu maombi yangu) 
Amenipa uzima tele (Yesu amejibu maombi yangu) 
Ni Yesu ni Yesu (Yesu amejibu maombi yangu) 
Ni Bwana wa Mabwana (Yesu amejibu maombi yangu) 
Simba wa Yuda (Yesu amejibu maombi yangu)  .

Ameponya wagonjwa (Yesu amejibu maombi yangu) 
Ameondoa mateso yangu (Yesu amejibu maombi yangu) 
Vipofu wameona (Yesu amejibu maombi yangu) 
Na viwete wamtembea Baba (Yesu amejibu maombi yangu) 
Na mapepo yamekimbia (Yesu amejibu maombi yangu) 
Watu wamepona kwa jina la Yesu (Yesu amejibu maombi yangu) 
Amenipa kazi nzuri (Yesu amejibu maombi yangu) 
Amenipa mke mwema (Yesu amejibu maombi yangu) 
Watoto wamefaulu masomo (Yesu amejibu maombi yangu) 
Na shambani nimevuna mazao mengi (Yesu amejibu maombi yangu)  .


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Niacheni Niimbe - Niacheni Nicheze:

0 Comments/Reviews