Sifa Lyrics

Narudisha Sifa by Upendo Nkone cover art

Upendo Nkone - Narudisha Sifa Lyrics

Artist:
Upendo Nkone

Lyrics

(Chorus)
Narudisha sifa kwa Mwokozi
Nimebarikiwa, Hallelujah
Narudisha sifa kwa Mwokozi
Nimebarikiwa, Hallelujah
Narudisha sifa kwa mtakatifu Yesu
Nimebarikiwa, Hallelujah
Narudisha sifa kwa Mwokozi
Nimebarikiwa, Hallelujah


(Verse 1)
Nilimuomba Mungu na nikamwamini
Leo amenibariki naimba Hallelujah
Narudisha sifa kwa Mwokozi
Nimebarikiwa, Hallelujah


(Verse 2)
Amenitoa mavumbini, amenipandisha juu
Nimebarikiwa, Hallelujah
Narudisha sifa kwa Mwokozi
Nimebarikiwa, Hallelujah


(Verse 3)
Amegeuza laana imekuwa baraka
Ameyageuza matukano yamekuwa baraka
Narudisha sifa kwa Mwokozi
Nimebarikiwa, Hallelujah


(Verse 4)
Amepasua bahari, amefanya njia nikapita
Yeye ni mwenye nguvu naimba Hallelujah
Narudisha sifa kwa Mwokozi
Nimebarikiwa, Hallelujah


(Verse 5)
Ninamshangilia, ninasifu Yesu
Nimebarikiwa, Hallelujah
Narudisha sifa kwa Mwokozi
Nimebarikiwa, Hallelujah


(Verse 6)
Bwana ni Ebenezer, ametenda kwa ukubwa
Nimebarikiwa, Hallelujah
Narudisha sifa kwa Mwokozi
Nimebarikiwa, Hallelujah


(Verse 7)
Yesu amenitetea, Yesu amenishuhudia
Yesu kanipigania naimba Hallelujah
Narudisha sifa kwa Mwokozi
Nimebarikiwa, Hallelujah


(Verse 8)
Amenifuta machozi, ameondoa aibu
Ameniheshimisha naimba Hallelujah
Narudisha sifa kwa Mwokozi
Nimebarikiwa, Hallelujah


(Vamp / Outro)
Pokea shukrani zote
Pokea utukufu wote
Pokea na heshima zote wewe ni Mungu
Tuimbe Hallelujah, imba Hallelujah
Tuimbe Hallelujah, imba Hallelujah


Jina lake liko juu sana (Hallelujah)
Mungu wetu ni mtakatifu (Hallelujah)
Hallelujah (Hallelujah)
Mungu wetu ana nguvu sana (Hallelujah)
Mungu wetu anaweza tuimbe (Hallelujah)
Amefanya maajabu baba (Hallelujah)
Bwana Yesu ni jabali langu (Hallelujah)
Tuimbe Hallelujah (Hallelujah)
Utukufu wote ni wa Bwana (Hallelujah)
Na heshima zote ni za Bwana (Hallelujah)
Bwana Yesu ni mkuu sana (Hallelujah)
Imba Hallelujah (Hallelujah)
Hallelujah (Hallelujah)
Hallelujah...


Video