Sifa Lyrics

Maji Jangwani by Rehema Simfukwe cover art

Rehema Simfukwe - Maji Jangwani Lyrics

Artist:
Rehema Simfukwe

Lyrics

Wewe wathamini maombi
Tena wahifadhi machozi
Hutanichoka
Wanisikia


Safari jangwani ni ndefu
Na miguu yangu imechoka
Unikumbuke, unipe maji Bwana
Unikumbuke, unipe maji jangwani
Nakuamini kwa yote nipitiayo


Unikumbuke, unipe maji jangwani
Nakuamini kwa yote nipitiayo


Unikumbuke, unipe maji jangwani
Nakuamini kwa yote nipitiayo


Unikumbuke, unipe maji jangwani
Nakuamini kwa yote nipitiayo


Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu


Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu


Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu


Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu


Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu


Unikumbuke, unipe maji jangwani
Nakuamini kwa yote nipitiayo


Unikumbuke, unipe maji jangwani
Nakuamini kwa yote nipitiayo


Unikumbuke, unipe maji jangwani
Nakuamini kwa yote nipitiayo


Unikumbuke, unipe maji jangwani
Nakuamini kwa yote nipitiayo


Video