Sifa Lyrics

Wakati  by Rehema Simfukwe cover art

Rehema Simfukwe - Wakati Lyrics

Artist:
Rehema Simfukwe

Lyrics

Verse 1
Wewe wathamini maombi
Tena wahifadhi machozi
Hutanichoka
Wanisikia


Verse 2
Safari jangwani ni ndefu
Na miguu yangu imechoka
Unikumbuke, unipe maji Bwana
Unikumbuke, unipe maji jangwani
Nakuamini kwa yote nipitiayo


Chorus
Unikumbuke, unipe maji jangwani
Nakuamini kwa yote nipitiayo


Unikumbuke, unipe maji jangwani
Nakuamini kwa yote nipitiayo


Chorus
Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu


Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu


Verse 3
Kuna wakati kwa kila jambo
Na majira
Ee Mungu nisaidie mimi
Nisijisahau
Yaje mema
Yaje mabaya
Ee Mungu nisaidie mimi


Verse 4
Kinywa changu kitau Nena
Uzuri wa gomo wokozi
Yaje mema
Yaje mabaya
Ee Mungu nisaidie mimi


Chorus
Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu


Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu


Verse 5
Nifundishe kuzia sabu
Siku zangu
Nisije nikajisahaou
Mungu wangu
Nifundishe kuzia sabu
Siku zangu
Nisije nikajisahaou
Mungu wangu


Chorus
Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu


Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu


Chorus
Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu


Maji jangwani, maji jangwani
Timiza kiu yangu
Timiza kiu yangu


Video