Lyrics
Eeh nafsi yangu inuka mwamini bwana
Eeh roho yangu inuka mwamini tena
Yeye aliyeahidi yote,yuko hai
atakutendea
Eeh nafsi yangu inuka mwamini bwana
Eeh roho yangu inuka mwamini tena
Yeye aliyeahidi yote,yuko hai
atakutendea
Wewe ni mungu mumba vyote
Ata na mimi umeniumba
na niko hapa kukuambia
Nakuamini kuliko chochote
Wewe ni mungu mumba vyote
Ata na mimi umeniumba
na niko hapa kukuambia
Nakuamini kuliko chochote
Eeh nafsi yangu inuka mwamini bwana
Eeh roho yangu inuka mwamini tena
Yeye aliyeahidi yote,yuko hai
atakutendea
Kama ni njia utafanya
Kila kilima utaondoa
Kila ponde utasawazisha
Nakuamini kuliko chochote
Wewe ni mungu mumba vyote
Ata na mimi umeniumba
na niko hapa kukuambia
Nakuamini kuliko chochote
Eeh nafsi yangu inuka mwamini bwana
Eeh roho yangu inuka mwamini tena
Yeye aliyeahidi yote,yuko hai
atakutendea
Eeh Yesu,ee Yesu ee
Je jambo gani ngumu kwako?
Ee Yesu,ee Yesu ee
Je jambo gani ngumu kwako?
Ee Yesu,ee Yesu ee
Je jambo gani ngumu kwako?
Ee Yesu,ee Yesu ee
Je jambo gani ngumu kwako?
Ee Yesu,ee Yesu ee
Je jambo gani ngumu kwako?
Eeh nafsi yangu inuka mwamini bwana
Eeh roho yangu inuka mwamini tena
Yeye aliyeahidi yote,yuko hai
atakutendea
Ee Yesu,ee Yesu ee
Je jambo gani ngumu kwako?
Ee Yesu,ee Yesu ee
Je jambo gani ngumu kwako?
Ee Yesu,ee Yesu ee
Je jambo gani ngumu kwako?
Ee Yesu,ee Yesu ee
Je jambo gani ngumu kwako?
Ee Yesu,ee Yesu ee
Je jambo gani ngumu kwako?