Lyrics
Verse 1
Damu imenena
Damu imenena
Damu imenena
Msamaha wangu
Damu imenena
Damu imenena
Damu imenena
Ukombozi wangu
Verse 2
Nimepewa jina jipya
Dhambi zangu zimeoshwa
Damu imenena
Uponyaji wangu
Nimepewa jina jipya
Dhambi zangu zimeoshwa
Damu imenena
Urithi wangu
Chorus
(A-a-a-ah)
Damu imenena
Damu ya Yesu
Damu ya mwanakondoo
Damu ya agano jipya
Imenena
Damu ya Yesu
Damu ya mwanakondoo
Damu ya agano jipya
Imenena
Bridge
Tunakiri damu ya Yesu mahali hapa
Ukiitaji kuponywa
Kuna uponyaji mahali hapa
Because the blood has spoken
The blood of Jesus speaks over you
Tunakiri damu
Damu ya mwanakondoo
Damu ya agano jipya
Imenena
Outro
Damu ya Yesu
Damu ya mwanakondoo
Damu ya agano jipya
Imenena
Damu ya Yesu
Damu ya mwanakondoo
Damu ya agano jipya
Imenena