Sifa Lyrics

Yale Baba Umenifanyia by Wapendwa Muziki cover art

Wapendwa Muziki - Yale Baba Umenifanyia Lyrics

Artist:
Wapendwa Muziki
Album:
Yale Baba Umenifanyia - Single
Official Release:
15 Feb 2024

Lyrics

Verse 1
Dear God, it's me again
I have come to you with a heart of worship
Baba mimi nimekufanyia nini
Ndonipende namna hii
Nimekufanyia nini
Ndonipende namna hii
Baba mimi nimekufanyia nini
Ndonipende namna hii
Oh, nimekufanyia nini
Ndonipende namna hii


Chorus
Nimekuja na wimbo
Na moyo wako kwa muda baki
Wimbo
Na moyo wako kwa muda baki
Wimbo
Na moyo wako kwa muda baki
Wimbo
Na moyo wako kwa muda baki


Verse 2
Bila wewe ningeteseka
Dadi umenitoa mbali
Hawa sio wewe awe
Kimi ningekuwa wa nini
Napiga makoti mbele zako baba yangu
Nainua mikono kwa shara ya kusujudu
Yale baba umenifanyia wacha nikuitishe
Nimekuja nikupende leo Jehovah Shammah
Wewe ni Mungu wa mapendeleo
Nishakutua
Unatenda tena nataka dadi
Nimekuja na wimbo
Na moyo wako kwa muda baki
Wimbo
Na moyo wako kwa muda baki
Wimbo
Na moyo wako kwa muda baki
Wimbo
Na moyo wako kwa muda baki


Bridge
Ilikuwa nimepotea wokovu kanipa
Ilikuwa sipendezi nimeemoka nipa
Ukaniokota toka jalalani mimi
Ilikuwa nimepotea wokovu kanipa
Ilikuwa sipendezi nimeemoka nipa
Ukaniokota toka jalalani mimi


Outro
Asante kwa wokovu
Asante kwa msamaha
Naondoa maovu
Moyoni nina raha
Asante kwa ukubwa
Asante kwa msamaha
Naondoa maovu
Moyoni nina raha
Yale baba umenifanyia wacha nikuitishe
Nimekuja nikupende leo Jehovah Shammah
Wewe ni Mungu wa mapendeleo
Nishakutua
Unatenda tena nataka dadi


Video