Sifa Lyrics

Wanitosha by Wapendwa Muziki cover art

Wapendwa Muziki - Wanitosha Lyrics

Artist:
Wapendwa Muziki

Lyrics

Chorus
Bwana wanitosha
Bwana
Bwana wanitosha
Bwana
Bwana wanitosha
Bwana
Bwana wanitosha
Bwana
Bwana wanitosha
Bwana
Bwana wanitosha
Bwana
Bwana wanitosha
Bwana
Bwana wanitosha
Bwana


Verse 1
Wewe ndio natamani
(Pako huna kamani)
Wewe wanitosha
(Tosha nimetosheka yeye)
Wewe ndio natamani
(Pako huna kamani)
Wewe wanitosha
(Tosha nimetosheka nimetosheka)
Wewe ndio natamani
(Pako huna kamani)
Wewe wanitosha
(Tosha nimetosheka yeye)
Wewe ndio natamani
(Pako huna kamani)
Wewe wanitosha
(Tosha nimetosheka nimetosheka)


Chorus
Sielewi mbona unanipenda sana
Hata nikikosa wewe huniachi Bwana
Sielewi mbona huchukizwi na mimi
Kila nikikwita (kila nikikwita)
Kila nikikwita, popote bado waitika
Sielewi mbona unanipenda sana
Hata nikikosa wewe huniaji Bwana
Sielewi mbona uchuki na mimi
Kila nikikwita
Kila nikikwita, popote bado waitika


Verse 2
Mimi huyu mwana wako tena
Pengine misina pakuenda
Ninaomba mie jambo moja tu
Nina jua moyo utapona


Chorus
Wewe ndio natamani
(Pako huna kamani)
Wewe wanitosha
(Tosha nimetosheka na yeye)
Wewe ndio natamani
(Pako huna kamani)
Wewe wanitosha
(Tosha nimetosheka nimetosheka)
Wewe ndio natamani
(Pako huna kamani)
Wewe wanitosha
(Tosha nimetosheka yeye)
Wewe ndio natamani
(Pako huna kamani)
Wewe wanitosha
(Tosha nimetosheka nimetosheka)


Video