Wapendwa Muziki - Amefanya Mungu Lyrics

Amefanya Mungu Lyrics

Amenivua vazi langu la aibu 
Na moyo wangu akatibu 
Sina budi ila nimusifu

Ona vile amefanya Mungu 
Ona vile amefanya Mungu 
Ona vile amefanya Mungu 
Ni yeye, ni yeye amefanya Mungu 
Ni yeye yeye yeye amefanya Mungu  

Ona vile amefanya Mungu 
Ona vile amefanya Mungu 
Ona vile amefanya Mungu 
Ni yeye, ni yeye amefanya Mungu 
Ni yeye yeye yeye amefanya Mungu 

Ni jambo nina jambo 
Ninatamani niseme 
Jamani nina jambo ninatamani niseme 

Umenifunika na neema yako 
Tena umenifadhili mimi 
Umeondoa vizuizi 
Kwa mkono Baba umenibariki

Umenihurumia mimi, umenikumbuka mimi 
Umeondoa vizuizi 
Kwa mkono Baba umenibariki ii 

Ona vile amefanya Mungu 
Ona vile amefanya Mungu 
Ona vile amefanya Mungu 
Ni yeye, ni yeye amefanya Mungu 
Ni yeye yeye yeye amefanya Mungu 

Ame amenipendelea, Yesu ame amenipendelea aah 
Ame amenipendelea, Yesu ame amenipendelea aah 

Ninapendeza kwake nametameta 
Ninapendeza kwake nametameta 
Ninapendeza kwake nametameta 

Ona vile amefanya Mungu 
Ona vile amefanya Mungu 
Ona vile amefanya Mungu 
Ni yeye, ni yeye amefanya Mungu 
Ni yeye yeye yeye amefanya Mungu 

Ninapendeza kwake nametameta 
Ninapendeza kwake nametameta 


AMEFANYA MUNGU - WAPENDWA MUZIKI ( Official Music Video )

Amefanya Mungu Lyrics -  Wapendwa Muziki

Wapendwa Muziki Songs

Related Songs