Israel Mbonyi - Sikiliza Dunia Lyrics

Sikiliza Dunia Lyrics

Verse: 
Kwa Sasa ya dunia 
Kwangu Ni kama yameangikwa 
Yaliyokuwa faida 
Nayahesabu kama hasara 
Sikiliza dunia Ujue kwamba mimi si wako. 

Chorus: 
Nimehesabiwa haki 
Kwa damu yake mutetezi 
Jina langu Limeandikwa, 
Kwenye kitabu cha uzima 
Sikiliza dunia , 
Ujuwe kwamba mimi si wako 

Verse: 
Sasa maumivu Hayanitishi 
Nitayasahau kwa Yesu 
Haijadhihirika nitakavyokuwa 
Tutafanana akidhihilika
Éwé mbingu Yakiri Haya maneno 
Ayiweeeee, Kweli dunia Mi si wako


Sikiliza Dunia Video

Israel Mbonyi Songs

Related Songs