Sifa Lyrics

Pale Ulipo by Pitson + Karura Voices cover art

Pitson + Karura Voices - Pale Ulipo Lyrics

Artist:
Pitson + Karura Voices

Lyrics

Pale Ulipo By Pitson Legrand Featuring Karura Voices Lyrics.


With a smile on your face.


Move, everybody move..


Aya yay aaayaa.. ya ya yaaaa...


ya ya yaaaa ya ya yaaaa.(repeat)


Verse 1


Naomba siku zote, ulipo ndipo nipo x 4,


Kwa mawazo pale ulipo ndipo nipo


Naomba siku zote ulipo ndipo nipo


Kwa maamuzi,pale ulipo ndipo


nipo


Naomba siku zote ulipo ndipoo.


Chorus


Nipendezwe na


kinachokupendeza,


Nichukizwe na kinachokuchukiza,


Mapenzi yako yafanyike


Kwangu, Kama kwako, 


Pale ulipo ndipo nipo. (*2)


Aya yay aaayaa.. ya ya yaaaa...


ya ya yaaaa ya ya yaaaa.(repeat)


Put your hands together....


Naomba siku zote, ulipo ndipo nipo x 4,


Kwa mawazo,pale ulipo ndipo nipo


Naomba siku zote ulipo nipo


Kwa maaamuzi pale ulipo ndipo nipo


Naomba siku zote ulipo ndipo nipo.


Chorus


Nipendezwe na


kinachokupendeza,


Nichukizwe na kinachokuchukiza,


Mapenzi yako yafanyike


Kwangu, Kama kwako, 


Pale ulipo ndipo nipo. (*2)


Bridge.


Yerusalem mpya,


tulio ahidiwa na yesu,


kwamba tukimuamini tu.


Mwaminifu


tutakuwa pale alipo ndipo tupo.


Pale alipo


Pale alipo ndipo tupo


Pale alipo


Pale alipo ndipo tupo


Pale alipo


Pale alipo ndipo tupo


Video