Sifa Lyrics

Lingala Ya Yesu by Pitson cover art

Pitson - Lingala Ya Yesu Lyrics

Artist:
Pitson

Lyrics

Imekuwa muda sasa papa sijakuimbia Lingala Baba


Nimekuwa nikishughulisha na mareggea na maragga


Mablues zikafanya mimi n'kalala 


Sasa nimeamka Baba naimba Lingala 


Waliniambia lingala poa nifunge mshipi juu ya tumbo


Na nijue kilingala eti “petit Lingala le eza moke” 


Wakaniambia Lingala poa niongee katikati ya wimbo


“Naongea, na sina kitu cha kusema” 


Mimi nasema Lingala ya Yesu haikuwangi complicated


Ukipewa kagitaa tu, Ukipewa kagitaa tu,


Unainua mikono juu, unasifu Yesu juu 


Lingala ya Yesu wangu, inaokoa 


Lingala ya Yesu wangu, inabariki 


Lingala ya Yesu wangu, si complicated 


Unasifu unasifu unasifu Yesu Juu 


Sio lazima utoboe kila pahali ndio msanii usikike 


Sio lazima magari ya kifahari ndio video ishike 


Sio lazima ujue kilingala ndio Congo ufike 


Nao madancer, nguo zimewabana, zimewabana 


Mimi nasema Lingala ya Yesu haikuwangi complicated


Ukipewa kagitaa tu, Ukipewa kagitaa tu


Unainua mikono juu, unasifu Yesu juu 


Lingala ya Yesu wangu, inaokoa 


Lingala ya Yesu wangu, inabariki 


Lingala ya Yesu wangu, si complicated 


Unasifu unasifu unasifu Yesu Juu 


Unasifu unasifu Yesu juu 


Sio jina lako we msanii, unasifu Yesu Juu 


Video