Sifa Lyrics

Tujenge by Pitson cover art

Pitson - Tujenge Lyrics

Artist:
Pitson

Lyrics

Ndege wako na mahali pa kuenda jioni
Wanyama wa porini, jua likitua pangoni
Samaki wa majini, wana makao baharini
Wako mpangoniii..


Na kuna mkenya hana nyumba mahali(wooo)
Na zile ziko hawezi kumudu, bei ghali
Analilia serikaliii
Ategemea serikaliii


Tuanzeni kujenga
Watoto wetu wasikose mahali pa kwenda
Chukua mawe na simiti weka kwa mabega


Tunajenga aaaah
Tunajenga aaaah
Aaah...muanze tujenge
Aaah...tujenge
Aaah...tujenge


Kukinyesha tusinyeshewe tuwe salama
Serikali kaingilia kapunguza gharama
Today is finally here, tunahama


Finally usalama kwa wote(kwa wote)
Hata yule mapato ni duni malazi yu apata(apara)
Sisi wanaKenya tunajijenga


Tuanzeni kujenga
Watoto wetu wasikose mahali pa kwenda
Chukua mawe na simiti weka kwa mabega


Tunajenga aaaah
Tunajenga aaaah


The journey starts 
With you and with me(mi na we)
Freedom is here beautiful day
(Beautiful day)


Mimi na wewe ndio wenye nchi
Tujenge pamoja


Tuanzeni kujenga
Watoto wetu wasikose mahali pa kwenda
Chukua mawe na simiti weka kwa mabega


Tunajenga aaaah
Tunajenga aaaah


Tuanzeni kujenga
Watoto wetu wasikose mahali pa kwenda
Chukua mawe na simiti weka kwa mabega


Tunajenga aaaah
Tunajenga aaaah


Tuanzeni kujenga
Watoto wetu wasikose mahali pa kwenda
Chukua mawe na simiti weka kwa mabega


Tunajenga aaaah
Tunajenga aaaah


Tuanzeni kujenga
Watoto wetu wasikose mahali pa kwenda
Chukua mawe na simiti weka kwa mabega


Tunajenga aaaah
Tunajenga aaaah


Video