Pitson - Nisaidie Lyrics

Nisaidie Lyrics

Nisaidie Baba nisiwai lala njaa 
Nisaidie Baba nisipatwe na balaa 
Hasara iwe mbali nami hata kwa biashara 
Ninachouza wanunue nisibaki na bidhaa 
aah aaah aaah aaah

Nisiwai kosa pesa ya kulipa nyumba ya kukodisha 
Pia nipe yangu nisiishi sana ya kukodisha 
Jinsi ya kupata doo wewe Baba ndiye utanionyesha 
Hutatoa vitu vinavyonikondesha 

aah aaah Nisaidie
aaah aaah Nisaidie 

Itakuwaje baba jirani wanajua nimeokoka 
Na vile mimi ninavyoteseka niko na deni hata kwa mama mboga 
Wamenidharau watakudharau 
Mungu wa ibrahimu waonyeshe kwamba hujanisahau 
uuuu uuuu uuuu 

Kama Shadrack Meshack na Abedinego 
Hata wanirushe kwenye moto 
Nikikosa ya dunia bado sitawainamia 
Sitawainamia 
aaaah aaah Nisaidie 
aaaaaaah Nisaidie 

Shadrack Meshack na Abedinego 
Hata wanirushe kwenye moto 
Nikikosa ya dunia bado sitawainamia 
Sitawainamia  
aaaaaaah uuuuuuh

Kwa kila kitu nifanyacho Baba nisaidie,nisaidie 
Kwa kazi ya mikono yangu nisaidie 
Uniweke mbali na balaa 
Niweke mbali na hasara baba nisaidie 
Nisaidie


Nisaidie Video

Pitson Songs

Related Songs