Sifa Lyrics

Favour by Jimmy Gait cover art

Jimmy Gait - Favour Lyrics

Artist:
Jimmy Gait

Lyrics

Favour mi naomba tu favour
Oooh favour mi naomba tu favour
Nikiwa na favour haitajalisha
Kile ninacho au sina


Esther wa Bibilia alikuwa na favour 
Mabinti wengine walitegemea tu urembo
Na ili wawe bibi wa mfalme
Hawakujua kuna kitu inaitwa favour
Yaani favour ya kufanya upendeze
Yaani favour ya kufanya ukubalike


Favour, favour, favour
Favour, favour, favour
Esther ufalme kapatiwa, ufalme kapatiwa
Esther ufalme kapatiwa, ufalme kapatiwa


Favour mi naomba tu favour
Oooh favour mi naomba tu favour
Nikiwa na favour haitajalisha
Kile ninacho au sina


Naomba favour aah, naomba favour 


Saa zingine unajipata
Huna pesa ya biashara
Na wale wako nazo 
Hawataki kusaidia


Kumbuka kuna kitu inaitwa favour
Ukitaka promotion na kunayo competition
Kumbuka kuna kitu inaitwa favour


Haijalishi umetoka wapi
Haijalishi umesoma vipi
Favour ndio wahitaji


Favour, ndio wahitaji
Esther ufalme kapatiwa
Ufalme kapatiwa


Favour mi naomba tu favour
Oooh favour mi naomba tu favour
Nikiwa na favour haitajalisha
Kile ninacho au sina


Naomba favour aah, naomba favour 
Naomba favour aah, naomba favour 


Oooh- oooh-oooh, oooh
Ninakutabiria favour biashara yako itauza
Ninakutabiria favour kwa masomo yako utapita
Ninakutabiria favour ndoa yako itasimama
Ninakutabiria favour magonjwa yote utapona
Ninakutabiria favour madeni yote utalipa


Favour mi naomba tu favour
Oooh favour mi naomba tu favour
Nikiwa na favour haitajalisha
Kile ninacho au sina


Naomba favour aah, naomba favour 
Naomba favour aah, naomba favour 


Video