Japhet Zabron - Moyo Mweupe Lyrics
Lyrics
Nauliza ikiwa kuna mtu Anaweza kunipa furaha moyoni Mwingine tena zaidi yako Yesu Nauliza ikiwa kuna mtu anaweza kunifuta machozi mie Mwingine tena zaidi yako Yesu Nauliza ikiwa kuna mtu ata beba maumivu yangu ya moyo Mwingine tena zaidi yako Yesu Mtu ukimkosea, vigumu kukusamehe Ukiomba msamaha pia Hee vigumu kukuelewa Upendo wa Yesu unatujenga Pamoja tufurahi, tupendane Mungu ni wetu sote
Roho yangu ni nyeupe Na wala siwachukii Mi muumini wa wema Sinaga hata visasi Roho yangu ni nyeupe Na wala siwachukii Mi muumini wa wema Sinaga hata visasi
Nauliza Ikiwa kunamtu hunipenda japokuwa nakosa mie Mwingine tena zaidi yako Yesu Nauliza mie Ikiwa kuna mtu hufurahi mafanikio yangu mie Mwingine tena zaidi yako Yesu Nauliza Je kuna mtu aweza kubeba shida zote zangu mie Mwingine tena zaidi yako Yesu Kuna watu hufurahi Mtu anapopitia shida Hata akifanikiwa Sijui mbona waumia mioyo Upendo wa Yesu unatujenga Pamoja tufurahi, tuisje tupendane Mungu ni wetu sote
(Roho yangu ni nyeupe) sinaneno mimi Baba (Na wala siwachukii ) heeh mimi siwachukii (Mi muumini wa wema Sinaga hata visasi Roho yangu ni nyeupe Na wala siwachukii Mi muumini wa wema Sinaga hata visasi )
Upendo wa Yesu unatujenga Pamoja tufurahi, tuishe tupendane Mungu ni wetu sote
Video
JAPHET ZABRON - MOYO MWEUPE(official video)