Japhet Zabron - Be Humble Lyrics

Album: Nikumbuke
Released: 19 Mar 2022
iTunes Amazon Music

Lyrics

Umaarufu Ulonao utazikwa nao Utazikwa nao, au kunasiku utauacha Mapesa pesa heeh Ulonayo utazikwa nayo Utajiri wa dunia uzikwe nao Kunasiku utauacha Je magari ya kifahari; majumba mzuri unayo yamiliki Nawaza tu nijue utazikwa nayo Je utazikwa nayo Kitu chochote cha dunia kinacho kinakupa kiburi ukose kujishusha Nawaza tu nijue  utazikwa nacho je utazikwa nacho Je utazikwa nacho

Be humble Be humble dear brother (haya yaba mwisho) Heeh (kuna siku utayaacha) Be humble Be humble dear believer (yote yana mwisho ipo siku utayaacha)

Nyenyekea nyenyekea Ndugu mpemdwa, dunia ina mwisho (kuna siku utaiacha) Nyenyekea nyenyekea Mpendwa wangu (yote yana mwisho kuna siku utayaacha)

Nikitu gani hasa kinifanye niku sahau mungu Hata nisione thamani ya yesu wangu hapana hakuna Kuishi miaka mingi siku zetu wazihesau mungu Riziki ya mtu pia watukadiria ni wewe bwana Unifundishe Baba Kuzi hesabu siku zangu bwana univike wema Na unyenyekevu Na jasiri Baba Wa kunyamaza kimya ya dunia yajapo nishinda Utaniongoza

Be humble Be humble dear brother (haya yaba mwisho) Heeh (kuna siku utayaacha) Be humble Be humble dear believer (yote yana mwisho ipo siku utayaacha)

Nyenyekea nyenyekea Ndugu mpemdwa, dunia ina mwisho (kuna siku utaiacha) Nyenyekea nyenyekea Mpendwa wangu (yote yana mwisho kuna siku utayaacha)

Video

Japhet Zabron - BE HUMBLE(Official Video)4K

Thumbnail for Be Humble video
Loading...
In Queue
View Lyrics