Sauti Ya Mwisho Lyrics - Japhet Zabron

Japhet Zabron Joel Lwaga swahili

Sauti Ya Mwisho Lyrics

Nimekitaja Na Kukitaja Kilio Changu Yesu Wangu Ili Unisaidie 
Niliutega Usiku Wa Jana Usiku Ule Yesu Wangu Uje Tusemezane Eeeeh
Si Unajua Usiku Kucha Nilivyokesha Yesu Wangu Kukuelza Tatizo 
Usiichoke Hii Nenda Rudi Yangu Kukuita Bwana Wangu Njoo Tulimmalize Tatizo
Si Waijua Na Nia Yangu,Nia Ya Moyo Navyotamani Nifanikishe Babaa
Sina Ramani Na Mambo Yangu Kama Kipofu Akitafuta Apite Wapi

Nitaingojea 
Sauti Ya Mwisho 
Itokayo Kwako
Ijibu Yaishe Mwanaangu
Kweli Najua (Tanifariji)
Eeeeh,,Na Tena(Itaniinua)
Na Bado (Itanipandisha)
Na Bado, Na Bado Yesu Wangu
Iseme Yatosha Mwanangu

Adui Aweza Kuwa Na Maneno Ila Neno La Mwisho Ni Lako
Maumivu Yaweza Kuwa Ni Mazito Kuvumilika Ila Neno Lako Zaidi Ya Sindano

Nitasubiri Usiku Huu 
Nitasubiri Kutapokucha 
Nitasubiri Kwa Imani
Nitasubiri Kwa Maombi 
Ni Neno Lako Moja Nasubiri
Ukisema Yatosa Yatosha Mwanangu Nitaingojea

Nitaingojea 
Nitaingojea 
Sauti Ya Mwisho 
Sauti Ya Mwisho 
Itokayo Kwakon Bwana
Itokayo Kwako
Ikinijibu Maswali Yangu 
Ijibu Yaishe Mwanangu
Hiyo Itanifariji
Tanifariji
Itaniinua Moyo Wangu
Itaniinua
Itanipandisha Juu Sana
Itanipandisha
Ukisema Yatosha 
Iseme Yatosha Mwanangu
Bwana Nasubiri Nasubiri Nitaingojea

Mimi Nangoja,Nangoja Sauti Ya Baba
Sauti Ya Mwisho 
Ikisema Yatosha
Itokayo Kwako
Ikijibu Maswali Yangu 
Ijibu Yaishe Mwanangu
Inifariji
Itanifariji
Itaniinue Na Inipandishe 
Inipandishe Baba
Itanipandisha Juu Sana
Itanipandisha 
Kwa Kusema Tu Imepona
Iseme Yatosha mwanangu
Yatosha Mwanangu 
Yatosha Mwanangu
Ndio Ni Neno Nalo Subili 
Kutoka kwako 
Yatosha Mwanangu
Iseme Yatosha Mwanangu
Ukisema Hakuna Wakupinga 
Yatosha Mwanangu 
Ukisema Hakuna Machhozi Tena 
Ukisema kuna Huzuni Tena 
Yatosha Mwanangu 
Iseme Yatosha Mwanangu
Yatosha Baba 


Sauti Ya Mwisho Video