Fadhili zake ni za Milele

Fadhili zake ni za Milele Lyrics

Zaburi mia moja na thelathini na sita; tumshukuru Bwana na tuimbe pamoja (Psalms 100:36)

Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele ...x2

Mshukuruni Mungu wa miungu
Fadhili zake ni za milele
Mshukuruni Bwana wa mabwana
Fadhili zake ni za milele
Amefanya maajabu
Fadhili zake ni za milele
Yeye alifanya mbingu na nchi
Fadhili zake ni za milele
Sema Kabisa

Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele ... x2

Amefanya mianga mikubwa
Fadhili zake ni za milele
Jua litawale mchana
Fadhili zake ni za milele
Mwezi na nyota usiku
Fadhili zake ni za milele
Akatandaza nchi juu ya maji
Fadhili zake ni za milele
Imba kabisa

Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele x2

Aliyeigawa Bahari ya Shamu
Fadhili zake ni za milele
Akavusha Waisiraeli
Fadhili zake ni za milele
Aliyemshinda Farao
Fadhili zake ni za milele
Na majeshi yake yote
Fadhili zake ni za milele
Sema kabisa

Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele x2

Yeye aliyetukumbuka
Fadhili zake ni za milele
Katika unyonge wetu
Fadhili zake ni za milele
Atuokoaye na watesi
Fadhili zake ni za milele
Mungu kweli ni wa ajabu
Fadhili zake ni za milele

Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele ... x4


@ Reuben Kigame - Fadhili zake ni za milile
Give thanks to the Lord, His Steadfast Love Endures Forever


Share:

Write a review/comment of Fadhili Zake Ni Za Milele:

0 Comments/Reviews


Reuben Kigame

@reuben-kigame

Bio

View all songs, albums & biography of Reuben Kigame

View Profile

Bible Verses for Fadhili zake ni za Milele

No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

Mp3 Songs & Download from iTunes

  • listen on Itunes Music