Moses Katunda - Nakupenda Sana Lyrics

Nakupenda Sana Lyrics

Bwana wa Mabwana nguvu zako Yesu
Mwokozi wangu Yesu nakupenda sana

Yesu ni Jabali langu
Bwana ni nuru yangu
Yesu ni ngome langu
Yesu ni mwokozi wangu
Yesu ni mwamba wangu
Nakupenda sana

Bwana wa Mabwana nguvu zako Yesu
Mwokozi wangu Yesu nakupenda sana

Luganda ...
N'agamba omukazi nti Okwongera nnaakwongerangako
obulumi bwo n'okubeeranga kwo olubuto;
mu bulumi mw'onoozaaliranga abaana;
n'okwegomba kwo kunaabanga eri musajja wo,
naye anaakufuganga.

Bwana wa Mabwana nguvu zako Yesu
Mwokozi wangu Yesu nakupenda sana

Nakupenda sana, nakupenda sana
Nakupenda sana, nakupenda sana


Nakupenda Sana Video

Moses Katunda Songs

Related Songs