Sifa Lyrics

Ongoza Hatua Zangu by Christina Shusho cover art

Christina Shusho - Ongoza Hatua Zangu Lyrics

Artist:
Christina Shusho

Lyrics

Hatua za mwenye haki zaongozwa naye Bwana
Na Bwana hufurahia njia zake wakati wote
Hatua za mwenye haki zaongozwa naye Bwana
Na Bwana hufurahia njia zake wakati wote


Nakukabidhi Bwana njia zangu zote
Pia nakutumaini, najua Bwana utafanya
Hata nijapojikwa sitaanguka chini
Bwana utanishika mkono na kunitengeneza


Nakukabidhi Bwana njia zangu zote
Pia nakutumaini, najua Bwana utafanya
Hata nijapojikwa sitaanguka chini
Bwana utanishika mkono na kunitengeneza


Mwangazie mtumishi wako uso wako
Maana ninayatamani maagizo yako
Tengeneza hatua zangu
Uovu usije ukanimiliki


Ongoza hatua zangu, ee Bwana, ee Bwana.
Ongoza hatua mwenendo, eeh Bwana, eeh Bwana.
Ongoza hatua zangu, ee Bwana, ee Bwana.
Ongoza hatua mwenendo, eeh Bwana, eeh Bwana.
...


@ Christina Shusho - Ongoza Hatua zangu


Video