Sifa Lyrics

Nafsi yangu yakutamani - kama ayala by Ephraim Sekeleti cover art

Ephraim Sekeleti - Nafsi yangu yakutamani - kama ayala Lyrics

Artist:
Ephraim Sekeleti

Lyrics

Nafsi yangu yakutamani,
Roho yangu yaona kiu,
Kama ayala, atafutavyo maji ya mto,
Baba, nafsi yangu yakutamani.


Nafsi yangu yakutamani,
Roho yangu yaona kiu,
Kama ayala, atafutavyo maji ya mto,
Baba, nafsi yangu yakutamani.


Nijaze, na Roho Mtakatifu;
Niweke, karibu nawe
Nirejeshee, furaha ya wokovu;
Baba, nafsi yangu yakutamani.


Nijaze, na Roho Mtakatifu;
Niweke, karibu nawe
Nirejeshee, furaha ya wokovu;
Baba, nafsi yangu yakutamani.


Sung By SIMON DAMIANO
English
As the dear pants for the waters
so my soul longs after you.


Video