Niseme Nini (Baba NinaKushukuru Lyrics - Dr Ipyana

Dr Ipyana swahili

Niseme Nini (Baba NinaKushukuru Lyrics

Uliyoyatenda kwangu ni mengi 
Shuhuda zako hazielezeki 
Umefanya hili, umefanya lile 
Umenipa jina, Baba ninakushukuru (Rudia)

Refrain:
Niseme nini? Siwezi kueleza 
Baba ninakushukuru 
Umefanya mengi, siwezi kueleza 
Baba ninakushukuru 
Nikulipe nini, kwa yote umetenda? 
Baba ninakushukuru 
Nikulipe nini, kwa yote umetenda? 
Baba ninakushukuru 

Baraka zako hazihesabiki 
Wema wako hauzoeleki 
Umefanya hili, umefanya lile 
Umenipa jina, Baba ninakushukuru(Rudia)

(Refrain)

Bali ninakushukuru 
Baba ninakushukuru 

Umefanya hili, umefanya lile 
Umenipa jina, Baba ninakushukuru

Umefanya hili, umefanya lile
Utafanya na lile, Bado ninakuamini(Rudia)


Niseme Nini (Baba NinaKushukuru Video