Dr Ipyana Paul Clement

Hata Hili Litapita Lyrics

Nitayainua macho yangu nitazame milima 
Msaada wangu utatoka wapi? 
Msaada wangu ni katika wewe 
Usiyeacha nipotee chini msalaba wako 

Chorus:
Hata hili litapita 
Kama yale yalivyopita 
Chini ya msalaba wako 

Chini ya uvuli wako najisitiri 
Mbali na hata shida za maisha 
Nifunike na pendo lako 
Chini ya msalaba wako 

Translation Swahili to English
I look up to the mountains,
Where does my help come from?
My help is in You,
You who never let me go astray,
Beneath Your cross..

Chorus:
Even this will pass,
As the other ones passed,
Beneath Your cross,                  
There's help..

Bridge:
Beneath the shadow of Your wings,
I cover up myself,
Away from suffering and troubles of life,
Cover me by Your love,
Beneath Your cross


Hata Hili Litapita Video

Source: Hata Hili Litapita Lyrics - Dr Ipyana