Dr Ipyana - Nahitaji Neema Yako Tu / Sijawahi Weza Bila Wewe Lyrics

Nahitaji Neema Yako Tu / Sijawahi Weza Bila Wewe Lyrics

Tunahitaji neema yako tu 
Kushinda vita zote mbele yangu 
Tunahitaji neema yako tu 
Kushinda vita zote mbele yangu 

Sijawahi weza bila wewe Yesu
Sitawahi weza bila wewe Yesu

Tunahitaji neema yako tu 
Kushinda vita zote mbele yangu 
Tunahitaji neema yako tu 
Kushinda vita zote mbele yangu 

Sijawahi weza bila wewe Yesu
Sitawahi weza bila wewe Yesu


Dr Ipyana - NAHITAJI NEEMA YAKO TU

Nahitaji Neema Yako Tu / Sijawahi Weza Bila Wewe Lyrics -  Dr Ipyana

Dr Ipyana Songs

Related Songs