Sifa Lyrics

Usipigane by Joel Lwaga cover art

Joel Lwaga - Usipigane Lyrics

Artist:
Joel Lwaga

Lyrics

Usipigane


Vita ni ya Bwana


Ukipigana anatulia


Ukitulia anapigana


Usipigane


Vita ni ya Bwana


Ukipigana anatulia


Ukitulia anapigana


Acha kutarajia, ishundi


Kwa nguvu zako mwenyewe mmh mmmh


Vita ni ya mungu


Mwache ye atakupigania tu


Acha kuhangaika, na wanadamu


Ili kuongeza jeshi lako eh eh eh


Hao ni wanadamu ,ni watu tu


Watakuhunisha tu eh eh eh


Alimwanbia musa waambie Israel


Watulie waone wokovu wangu wangu leo


Maana wamisri hawa wanaowaona leo


Hawatawaona tena eh eh eh


Yesu nae kajiita Bwana wa sabato


Sabato maana yake pumziko


Tabasamu katikati ya mapito


Ukimwamini Bwana


Usipiganeee


Usipigane


Vita ni ya Bwana


Ukipigana anatulia


Ukitulia anapigana


Usipigane


Vita ni ya Bwana


Ukipigana anatulia


Ukitulia anapigana


Kuna yale


Ya wewe kufanya


Na kuna yale ya mungu kufanya


Usimsaidie


Yale yak wake maana hautaweza


Usitikiswe na uhalisia


Usiyumbishwe na mazingira


Iwe unaona, au huoni


Ye anapigana eh eh eh


Usiogope ile ripoti ya dakitari


Usiogope lile deni la ile benki


Usiogope ile kesi mahakamani


Anakupiganiaa


Usiogope utavaa shela lako


Usiogope udogo wa kanisa lako


Usiogope maneno na fitna zao


Vita ni ya Bwana


Usipiganeeeee eeeeeh


Usipigane


Vita ni ya Bwana


Ukipigana anatulia


Ukitulia anapigana


Usipigane


Vita ni ya Bwana


Ukipigana anatulia


Ukitulia anapigana


Usipigane


Vita ni ya Bwana


Ukipigana anatulia


Ukitulia anapigana


Usipigane


Vita ni ya Bwana


Ukipigana anatulia


Ukitulia anapigana


Video