Sifa Lyrics

Sitabaki Nilivyo by Joel Lwaga cover art

Joel Lwaga - Sitabaki Nilivyo Lyrics

Artist:
Joel Lwaga
Album:
Higher + Deeper (Live in Dar Es Salaam) [Live]
Official Release:
01 Jul 2021

Lyrics

Maisha haya, ninapita tu
Hali hii ya sasa ni kwa muda tu
Ushindi wangu, U karibu nami

Mtetezi wangu, yu hai .


Sitabaki kama nilivyo
Silalamiki, wala sikufuru
Najua ni darasa napitishwa
Imani yangu ipo kwenye kipimo .


Najua nitapita tu
Sitamani za wengine wala sijilinganishi
Najua wakati wangu upo
Siogopeswhi na mapito ninayoyapitia
Namwamini yule aliyeruhusu nipite .


Mtetezi wangu
Yu hai (Yu hai)
Sitabaki kama nilivyo


Video