Mercy Masika

Fungua Macho Lyrics

Wateule eeh tulioweka imani 
Kwa yule aliyetufia 
Wateule eeh tulioweka imani 
Kwa yule aliyetufia  
Sauti ya shaka, sauti yasema 
Hatutasimama hatututaendelea
Na sisi twasema 
Tutasimama tutaendelea 
Mungu yuko upande watu 

Mkristo simama: 
Fungua macho uone 
Jeshi la malaika limetuzingira 
Fungua macho uone 
Jeshi la malaika tutashinda vita 
Fungua macho uone 
Jeshi la malaika limetuzingira  

Wateule eeh tunamuishia 
Yule anyetupenda 
Wateule eeh tunamuishia 
Yule anyetupenda 
Mawazo ya shaka 
Mawazo yasema hatutayashinda hatutaendelea 
Na sisi twasema 
Tutashinda Mungu yuko upande wetu 
Tutasimama 

Fungua macho uone 
Jeshi la malaika limetuzingira 
Fungua macho uone 
Jeshi la malaika tutashinda vita 
Fungua macho uone 
Jeshi la malaika limetuzingira  

Uoooh tufungue macho 
Tufungue macho Yesu 
Tuone... 
Fungua macho uone 
Jeshi la malaika limetuzingira 
Fungua macho uone 
Jeshi la malaika tutashinda vita 
Fungua macho uone 
Jeshi la malaika limetuzingira  


Fungua Macho Video