Mercy Masika - Shule Yako Lyrics

Album: The Play House (feat. Mercy Masika)
Released: 15 Jul 2019
iTunes Amazon Music

Lyrics

Baba nichukue ooh
Baba nichukue nifunze nataka kusoma Kwa shule yako kwa shule yako
Nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako

Nikiwa nawe kama mwalimu ninajua nitahitimu
Nitashinda adui akileta majaribu
Unitayarishe unibadilishe mtihani nipite mwito nitimize
Nijue kuandika niandike maono yangu nijue kuhesabu nihesabu baraka zako
Nijue kuongea nihubiri neno lako oh kwa watu wako

Baba nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako
Nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako

Shule yako hatudanganyi ni ukweli na uwazi
Wanafunzi hawagomi mwalimu atujali
Unifunze mipango wote niwaheshimu Yesu ni mwalimu Yesu ni mwalimu
Nijue kuandika niandike maono yangu nijue kuhesabu nihesabu baraka zako
Nijue kuongea nihubiri neno lako oh kwa watu wako

Baba nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako
Nichukue nifunze nataka kusoma kwa shule yako kwa shule yako (x2)
Oooh nifunze baba

Video

Mercy Masika - Shule Yako (NIFUNZE)

Thumbnail for Shule Yako video
Loading...
In Queue
View Lyrics