Mwema - siwezi jizuia kusema wako wema Wako mwana

'Audio Mp3 Preview Courtesy of iTunes listen on Itunes Music View on amazon

Ohh wooih mmh
Wako mwana ukamtuma, duniani,
Kisa na maana, nipate uzima, jamani

Wako mwana ukamtuma, duniani,
Kisa na maana, nipate uzima, jamani
Ishaara kwamba unanipenda zaidi,
Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi,
Ishaara kwamba unanipenda zaidi,
Hivo nishaelewa, sifa nitakupa zaidi,

Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Umekuwa mwema kwangu,

Umenitoa gizani, nilipokuwa nimeshikwa mateka,
Ukanipa tumaini, kwako nikajificha,
Sasa nitakupa nini, iwe sawa na yale umetenda,
Hakuna ila moyoni, sifa nitakuimbia,

Ilikugharimu, msalabani unifie,
Hivo inanibidi, sifa nikuimbie,
Wema wako niseme, ili na wengine wakujue,
Wote waungane nami, na wazee ishirini na nne,

Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Umekuwa mwema kwangu,
Acha niringe, umekuwa mwema kwangu,
Oh Yahweh, ooh kwangu,
Oh umenitendea, kwangu,

Acha niimbe siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,

Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Na siwezi jizuia, kusema wako wema,
Sio kama najigamba, umenitenda mema,
Siwezi jizuia

@ Mercy Masika - Huyu YesuShare:
1 Comments

Comments / Song Reviews

Fredy Maingu Ongela Dada wimbo mzuri sanaaaa!!! Umejitaidi wimbo wako umenigusa nitumie kwenye Email yangu dah! Sijui nisemeje 7 months ago

Share your understanding & meaning of this song


Mercy Masika

@mercy-masika

Bio

View all songs, albums & biography of Mercy Masika

View Profile

Bible Verses for Mwema - siwezi jizuia kusema wako wema Wako mwana

No verses added for this song, suggest a verse to be included in the comments section

Mp3 Songs & Download from iTunes

listen on Itunes Music

Sifa Lyrics

Social Links