Mercy Masika - Nikupendeze - mienendo yangu na tabia Yangu Lyrics
Lyrics
Oh... oooh yeah... yeaaaah...
oh ooh uui. (still alive)
Mienendo yangu na tabia zangu zikupendeze kuvaa kwangu na kunena kwangu kukupendeze mienendo yangu na tabia zangu zikupendeze kuvaa kwangu na kunena kwangu... naomba ah.
Nifanane nawe yesu niwe jinsi upendavyoX2 Niguze nifinyange unibeebe niunde nitengeneze niwe kama wewe
NIKUPENDEZE mm ah... NIKUPENDEZE Mhmmm... NIKUPENDEZE Eee... NIKUPENDEZE Mhmm mm...
Familia yangu marafiki zangu tuwe sawa nawe biashara zangu kila kitu changu kiwe sawa nawe Familia yangu marafiki zangu tuwe sawa nawe biashara zangu kila kitu changu kiwe sawa nawe ee
Niguze nifinyage unibeebe niunde nitengeneze niwe kama wewe X2
NIKUPENDEZE ee baba ah maishani mwangu... NIKUPENDEZE Ee baba familia yangu... NIKUPENDEZE Oh baba yeah yea... NIKUPENDEZE baba mienendo yangu...
oh yea yea... Nifanane nawe yesu niwe jinsi upendavyo niunde nitengeneze niwe kama we we
NIKUPENDEZE oh nikupendeze... NIKUPENDEZE eiye katika mienendo yangu... NIKUPENDEZE aah niwe sawa nawe... NIKUPENDEZE woye woye woye woye nitembee nawe... NIKUPENDEZE baba baba kwa kunena kwangu... NIKUPENDEZE hoye baba natamani sana. NIKUPENDEZE woye baba nakupenda sana... NIKUPENDEZE natamani sana nikupendeze... kwa kunena kwangu kutembea kwangu oh niamkapo baba wacha nikupendeze
@ Mercy Masika Nikupendeze
Message: Let me, my friends and my family please you in our walk/Work and be more like you.
Video
MERCY MASIKA - NIKUPENDEZE (OFFICIAL VIDEO)