Gloria Muliro

Follow You Lyrics

Unaponipeleka mie si lazima nijue 
Unachoniwazia mie si lazima nijue 
Njia zako hakika Mambo yako sambamba
Mipango yako sawa sawa 
Njia zako hakika Mambo yako sambamba 
Mipango yako saawaa

Where you go i'll go,where you stay i'll stay,
Where you move i'll move, I will follow you 

Hakuna dhiki kwako,hakuna chuki kwako,
Wala unafiki kwako,baba kwako,
Ni marafiki kwako,kuna amani kwako,baba kwako,
Hakuna vita kwako,hakuna magonjwa kwako,
Wala talaka kwako,baba kwako
Kuna upendo tele kwako,furaha kwako,
Umoja tele kwako,baba kwako

Where you go i'll go,where you stay i'll stay,
Where you move i'll move, I will follow you 


Follow You Video