Sifa Lyrics

Matokeo by Gloria Muliro cover art

Gloria Muliro - Matokeo Lyrics

Artist:
Gloria Muliro
Album:
Msaidizi
Official Release:
20 Jan 2014

Lyrics

Sasa Nangoja Matokeo,
Sasa Nangoja Matokeo,
Kutoka Kawako Jalali

Mimi Nimefanya Mitihani Mingi Sana Ah..
Nimepitia, Madarasa Mengi Sana Ah...
Kwa Kila Darasa, Yahweh Umekuwa Mwalimu Wangu,
Umenifuna Kuomba, Umenifunza Subira,
Umenifunza Kungoja Baba,
Nimekuwa Mwanafunzi Mwema,
Kwako Baba

Sasa Nangoja Matokeo, Kutoka Kawako Jalali

Usiku Mrefu, Mbona Hakupambazuki,
Nimejaribu Sana Kukupendeza Maishani Mwangu,
Nimefanya Kazi Yako, Hiyo Umeona Yesu,
Nimetoa Fungu La Kumi, Hiyo Umeona Baba,
Nangojea, Nangojea, Matokeo Yangu,
Ulisema Nikitoa Nitabarikiwa...

Sasa Nangoja Matokeo, Kutoka Kawako Jalali
Sasa Nangoja Matokeo, Kutoka Kawako Jalali
Sasa Nangoja Matokeo, Kutoka Kawako Jalali
Sasa Nangoja Matokeo, Kutoka Kawako Jalali

Asubuhi Ikifika, Ije Na Kicheko,
Asubuhi Ikifika, Ije Na Amani,
Asubuhi Ikifika, Ije Na Furaha,
Asubuhi Yangu Ikifika, Ije Na Jibu Langu

Video