Reuben Kigame + Sifa Voices + Gloria Muliro - Huniachi Lyrics

Contents: Song Information
  • Song Title: Huniachi (feat. Gloria Muliro)
  • Album: Usifadhaike
  • Artist: Reuben Kigame
  • Released On: 22 Nov 2016
  • Download/Stream: iTunes Music Amazon Music
Reuben Kigame Huniachi

Huniachi Lyrics

Umeahidi wewe Bwana huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote

Nipitiapo maji mengi au moto huniachi
Unalijua jina langu ewe bwana huniachi
Unatengeneza njia hata mito kule jangwani
Wewe ndiwe alpha na omega huniachi

Umeahidi wewe Bwana huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote

Uliwalinda wana Israeli kule Jangwani
Ukamtoa danieli kutoka tundu la simba
Wewe huwainua na wanyonge siku zote
Watuepusha na hatari kila siku usifiwe

Umeahidi wewe Bwana huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote

Marafiki nao wanaweza nigeuka
Mara kwa mara maadui wanizunguka
Nitaishi kwa ahadi yako bwana, huniachi huniachi

Umeahidi wewe Bwana huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote


Huniachi Video

Huniachi Lyrics -  Reuben Kigame

Reuben Kigame Songs

Related Songs